JATU PUBLIC LIMITED COMPANY

  • Trustfeed ratings Icon
  • Trustfeed ratings Icon
  • Trustfeed ratings Icon
  • Trustfeed ratings Icon
  • Trustfeed ratings Icon

Dar es salaam, Tanzania, United Republic Of

jatukilimo.com
Farming

JATU PUBLIC LIMITED COMPANY Reviews | Rating 3 out of 5 stars (5 reviews)

JATU PUBLIC LIMITED COMPANY is rated 3 out of 5 in the category farming. Read and write reviews about JATU PUBLIC LIMITED COMPANY. JATU PUBLIC LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwaajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia. Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro na Tanga.

Address

P.O.Box 42155 Dar es salaam, Tanzania Nyumba no. 56, Sabasaba, Temeke, Dar es salaam

Company size

51-200 employees

Headquarters

Dar es salaam, Tanzania

Founded

2016

Open hours

...
There is no reviews yet about JATU PUBLIC LIMITED COMPANY, be the first to write a review and give your rating to JATU PUBLIC LIMITED COMPANY
Write review Claim Profile

Top 10 companies in Farming category in Tanzania, United Republic Of